Mobi Groups
Download Free Apps & Games @ PHONEKY.com

KenyanCoastal - Topics
Create Your Own App Store

* KenyanCoastal > Topics


Subject: Why so cold?
Replies: 7 Views: 1357

nissiebo 19.08.09 - 12:27pm
Cmone pple changamkeni.mbona tuko cold hivyo.be active.. *

lisah6 28.08.09 - 07:32am
Tupo bibie.unajua ukitaka watu wachangamke,watie ndimu kiasi!. *

nissiebo 29.08.09 - 06:21am
Hee.kwani mpaka mpakwe ndimu.c mon lisah u knw beta thn tht... *

lisah6 29.08.09 - 06:40am
I know nothing ma dear,mimi mwenyewe ni mtoto mchanga,ndio naanza kuita maji 'Mmah'. *

nissiebo 30.08.09 - 06:55pm
Anyone else anayetaka kupakwa ndimu kama lisah ndio wachangamke? *

lennita 16.04.10 - 04:31pm
Hiyo ndimu ya kuchangamka inapakwa aje? *

candy400 17.07.10 - 02:17pm
Nami nipate ndimu kidogo *

pommes 18.09.10 - 04:24pm
Hao wote wanaotaka kupakwa basi b ready me nipo tayari kuwapakapaka ndio tuchangamke sote. *


* Reply
* KenyanCoastal Forum


Search:
topics replies


* KenyanCoastal

Create Your Own App Store

topTop
groupsGroups
mainProdigits

Create Your Own App Store